@kiramatemu@ItsMutai@MariaSTsehai I'm not here to tell anyone what to do or what to say doesn't mean i shouldn't respond to any stupid statements like yours mr 🐄
Muda umefika kujadili Tanganyika ili tujiandae vyema katika mjadala kuhusu Muungano na #KatibaMpya
Tumekosa identity na mwelekeo kwa sababu tumevikwa joho la Tanzania alafu kuna kipindi tunaambiwa kuna Tanzania na Zanzibar 😄
Kuna Tanganyika na Zanzibar alafu Tanzania moja tu!
🇿🇦 Orlando Pirates have shown interest in the signing of Malawian midfielder Francisco Madinga (22) who plays for Dila Gori in Georgia.
He made his debut for Malawi on 24 March 2021 in an AFCON 2021 qualifier against South Sudan.
#Transfers#OnceAlways#Madinga
“Tanzania inapitia wakati mgumu sana. Changamoto ya Uongozi uliopo kwa sasa, inaonyesha wazi kwamba Katiba Mpya inahitajika haraka sana. Kwa hali ya sasa ni kama nchi inajiendesha yenyewe kwa autopilot.” Hamisi Kigwangalla #TanzaniaLeaks
Tarehe 18/4/2022 Watu wasiojulikana Wamemteka Imamu wa Msikit wa ANSAR KITETO na wametokomea nae kusikojulikana
Tumefanya jitihada zakutoa Taarifa Kituo cha Polisi Wilayani Wametupa RB na kutuambia Tuendelee Kumtafuta
#BringBack
OstadhOTHMAN DILLO
@HildaNewton21@lifeofmshaba
@fatma_karume Hapa unachojaribu kufanya ni kutengeneza tweet ya kuja kuja kutengeneza mjadala baadae. Wewe lengo lako kwenye ni kutafuta publicity kupitia Mbowe.
Serikali haina muda wa kufuatilia ratiba ya Mbowe ila akivunja sheria za nchi atashuhulikiwa kwa mujibu wa sheria.
@MariaSTsehai shangazi @MariaSTsehai upo utaratibu wa kupinga maamuzi ya mahakama kisheria ndio maana inashauriwa sana kuchallenge mahakama kwa mujibu wa sheria,humu twitter ni kujisumbua tu bure!