Makamu Mwenyekiti wa CCM Znz ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndugu Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kufunga Kampeni za CCM Zanzibar, amuombea kura Mgombea wa JMT Ndg @MagufuliJP na Zanzibar Ndg @DrHmwinyi
Nukuu za Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu @DrHmwinyi akiomba kura kwa Wananchi katika Mkutano wa kufunga Kampeni za CCM Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Oktoba 25, 2020
#YajayoNiNeemaTupu#KuraKwaMwinyi#Mwinyi2020✅

Baadhi ya nukuu za hotuba ya Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu wa Tanzania Ndugu @jmkikwete akizungumza na wananchi waliohudhuria mkutano wa kufunga Kampeni za CCM Zanzibar katika Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Leo Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Tanzania Ndugu @jmkikwete akizungumza na wananchi waliohudhuria mkutano wa kufunga Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar katika Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Leo Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla akizungumza katika mkutano wa Ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi Zanzibar katika uwanja wa demokrasia Kibanda Maiti leo Octoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Umati wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti kwenye mkutano wa kufunga Kampeni za Chama cha Mapinduzi Unguja Leo Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Ndugu @SuluhuSamia ahudhuria mkutano wa ufungaji wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa demokrasia Kibanda Maiti Zanzibar leo Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Wasanii wakitoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Mjini magharibi waliojitokeza katika Uwanja wa Demokrasia (Kibandamaiti) kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Unguja. Leo Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa amani wakielekea katika Mkutano wa kufunga Kampeni za CCM uwanja wa Demokrasia (Kibandamaiti)
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Mjini wakiwa wanaelekea katika uwanja wa demokrasia (Kibandamaiti) kushiriki mkutano wa ufungaji wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Unguja. Mapema leo Jumapili Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Mjini wakiwa wanaelekea katika uwanja wa Demokrasia (Kibandamaiti) kushiriki mkutano wa ufungaji wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Unguja. Mapema leo Jumapili Oktoba 25, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Sehemu ya hotuba ya Mgombea Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndugu @DrHmwinyi akizungumza na wananchi wa Pemba katika mkutano wa kufunga Kampeni Kisiwani Pemba Jana Oktoba 24, 2020. Aahidi ujenzi wa bandari ya kisasa Pemba
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
TUNAHITIMISHA.
Leo Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2020 Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kitafanya mkutano wa kufunga Kampeni katika Uwanja wa Demokrasia (Kibandamaiti) kuanzia saa 4:00 asubuhi.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Abdulla Juma Sadaalla akizungumza katika Mkutano wa kufunga Kampeni za Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa Gombani ya Kale, Pemba.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndugu @DrHmwinyi akihutubia Mkutano wa kufunga Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Kisiwani Pemba katika kiwanja cha Gombani ya Kale,Leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.
#Mwinyi2020✅
#KuraKwaMwinyi#YajayoNiNeemaTupu