๐๐ข๐ญ๐๐ง๐ข๐ ๐ก๐๐ขkuzama kama vile ๐ฃ๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฎ๐ง๐๐ฏ๐ฒ๐จ๐๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข
Hadithi sio kuhusu barafu tuโni kuhusu makosa ya kibinadamu, onyo zilizopuuziliwa mbali, na maamuzi ya kishetani.
Hii ndiyo kweli kuhusu kilichozama meli hiyo ya "isiyezama".
๐Uzi//๐ง๐ต๐ฟ๐ฒ๐ฎ๐ฑ'๐๐
SIO LAZIMA COMPUTER
Nmeandaa list ya App / Site za kuandaa cv kwa kutumia smartphone yako buree.
Kwa kufuata maelekezo rahisi ya nn ujaze
Repost
Comment. "Kacha"
Natuma DM kwako chapu
Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi zaidi.
.
Kwa wastani mzunguko wa hedhi nisiku 28, Mzunguko wa hedhi unaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza mwanamke anapoanza ku bleed.
.
Kwa kawaida idadi ya siku katika mzunguko ambazo huhesabika kama ni mzunguko wa kawaida nisiku 21 hadi 35, Ambapo hapo ndipo utapata wastani wa siku 28 yaani [(21+35)-:2].
.
Ili tuseme mwanamke anamizunguko ya hedhi iliyo sawa (Regular cycles) Inabidi idadi ya siku za mizunguko ya hedhi kati ya mwezi na mwezi isitofautiane kwa zaidi ya wiki moja (siku 7).
KWA MFANO:
Kama mwezi wa kwanza aliona siku zake baada ya siku 28, Mwezi wapili akaona baada ya siku 30, Mwezi unao fwata akaona baada ya siku 35, Bado mzunguko wake upo kwenye uwiano mzuri (Regular cycle). Kwa sababu mzunguko mmoja na mwingine hauja tofautiana kwa zaidi ya siku 7.
"Usichanganye kati ya menstrual period na menstrual cycle, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa".
Siku ya kwanza ya ku bleed ndo siku tunayoanza kuhesabu mzunguko wa hedhi (day one), Sio siku ya kumaliza ku bleed.
Kwa kawaida idadi ya siku za ku bleed ni kati ya siku 3 hadi 7, Hapa pia kila mwanamke ana idadi yake kati ya hizo.
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO.
Idadi ya siku kati ya ovarian cycle na menstrual cycle hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke (Mfano wapo wa siku 28, 30, 25 kama tulivyo ona mwanzo.
Idadi ya siku katika luteal phase niswa katika mizunguko yote na ni siku 14. Hapa tuelewane.
KWA MFANO:
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, kuipata siku ya ovulation tunachukua 28-14 tunapata 14, kwahiyo kutoka siku ya kwanza mwanamke alipo anza ku bleed ni siku ya 14 ndiyo yai linakuwa tayari kurutubishwa.
.
Kwa mwenye mzunguko wa siku 30, tunachukua 30-14 tunapata 16, kwahiyo mwanamke mwenye mzunguko wa siku 30, ovulation inauwezekano mkubwa wa kutokea siku ya 16 na sio siku ya 14 (Hapo kuwa makini).
.
Yule mwenye mzunguko wa siku 35, ovulation day ni 35-14=21, Kwa hiyo mwanamke mwenye mzunguko wa siku 35, Ovulation inanafasi kubwa ya kutokea siku ya 21 na si ya 14.
.
Sasa baada ya kuijuwa siku ya ovulation lazima uwe makini na siku zinazokaribiana na siku ya ovulation kwani ni siku za hatari pia.
.
KWANINI...??
Mbegu za kuime zinauwezo wa kuwa hai hadi masaa 48 (2 days) tangu shahawa zimwagiwe ndani, Na yai la mwanamke linaweza kuwa hai hadi masaa 24 tangu kutolewa kwenye ovary.
Kwa hiyo kama mwanaume akijamiana na mwanamke siku mbili kabla ya yai kutolewa kwenye ovari, Mbegu inaweza kuwa hai na kutungisha mimba, endapo yai litatolewa ndani ya siku mbili zijazo.
Kadhalika kama mwanamke atatoa yai siku ya 14 kisha akajamiana ndani ya masaa 24 mbeleni, pia anaweza pata mimba kwasababu kipindi mbegu zina mwagwa zinaweza kulikuta yai bado lipo hai na kutungisha mimba.
Kwaufupi nisiku tatu tu, Ndizo hatari sana mwanamke kupata mimba, yaani, siku mbili kabla ya ovulation na ndani ya masaa 24 baada ya ovulation.
NB: Njia ya kalenda ni nzuri sana katika kupangilia uzazi, lakini ningumu kuizingatia na kufanya kazi kwa 100%, Hivyo basi unashauriwa kutumia njia zingine za muda mrefu za uzazi wa mpango kama vile vipandikizi N.K.
Ukiwa mtu unayetamani mafanikio makubwa kwenye maisha yako jiandae kupokea huge disappointments pia. Aidha, jiandae kuanguka chini zaidi.
Ukiwa mtu wa aina hii, mbali na elimu, ujuzi, maarifa na character zinazotakiwa, hakikisha unajenga na kuimarisha urafiki na watu wazuri. Kwenye contacts zako hakikisha una mtu ukimpigia simu moja tu anainuka kukusaidia.
#HK #Fighter #NjeYaBox