Moja ya mambo nimejifunza in a hard way, ni nadra watu kuhahirisha mambo yao kukusaidia.
You will be there starving, wakati Kaka yako anamalizia ujenzi wa apartment na anasema hana hela, na hakuna kitu utamfanya, ni hela yake.
Just survive to treat people the same 😆😆
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyoketi leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeadhimia kumfukuza uanachana aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Akiongea leo Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Roze Migiro amesema ““Kamati Kuu imejadili kuhusu suala la nidhamu na maadili ambalo lilikuwa linamkabili Emmanuel Nchimbi, na baada ya kuzingatia taarifa zote zilizokuwepo ilithibitika kwamba katiba ya CCM na kanuni zake zilikiukwa, na hivyo Nchimbi amefukuzwa uanachama”
Ukisikia story za Wazee ambao wamewahi kuacha familia walizoanzisha na kwenda kuanza maisha mapya, probably built a better family kuliko ya Mwanzo, hii ni ishara unaweza kuanza tena, unaweza kujisahihisha, unaweza ku win tena after a couple of loses.
USIOGOPE.
Watching people my age have fun and make memories while I’m stuck in my room fighting battles nobody can see. It’s such a strange feeling, seeing everyone live while you’re just trying to get through your own head.
No one wants to hear this but sometimes it’s your fault. Your life isn’t good and it’s your fault. You made bad decisions/ choices and sadly, these are the consequences of your actions.
Kuna mwana nilischool naye O'level kitambo sana. Ila kwao shida ilikua ni moja tuu mama ake mzazi alichizika akawa chizi asiyejielewa since akiwa na miaka miwili kwahio Bibi ake akachukua jukumu zima la kumlea hadi tulipomaliza masomo then mwana akazama jkt kujitolea akapata
A genius out there, kwanza anaongea kama wakolosai imefika Hatua mkuu wa mkoa anajiona Yuko shallow kiasi kwamba jamaa amemzidi mbali, halafu ni standard seven,🤟🤟🤟