@Sirajitz1 Sasa atajuaje wanachotaka kumwambia kama hapokei simu apokee simu pengine wanataka kumuhakikishia kile alicho kiona ili asiendelee kupoteza muda maana alicho kiona ndo ukweli
@professorIV Kutafutiwa gani kwa shida namna hiii kuna vitu unaweza badilisha uongo kuwa ukweli lakn siyo kwenye mpiriawa miguu una matokeo ya kikatili sana
@mshambuliaji Kuna wakati inafika hakuna umuhimu kushiriki mashindano na kuchosha wachezaji ni afadhali isiwepo timu taifa au ipewe jina lingine tofauti na #taifa stars kuliko hasara za mara kwa mara kwa ajili ya maandalizi