@IAmHaule Hata hao wenye makampuni wana saidiwa na experts kwenye ku file hizo returns, kushauri, na ku run office zao. Kuwa expert siyo lazima uwe na kampuni, experts wapo kusaidia hao wenye kampuni.
@MSAFWA_OG Zote hizo nimefanya, uzoefu wangu kununua sehem moja na kupeleka kuuza sokoni, au nunua kipindi cha mavuno weka store bei lazima ipande una uza hii ndo best option ever hutajuta. Ni rahisi kukuza mtaji kwa njia hii
Kulima kunalipa ila kuna risk kubwa mnoo!.
@maxdroff Nina Duka la electronics Dar, nakosa muda wa kukaa Dukani, nahitaji mtu anae uza aweke zake awe ananiuzia, au nimuuzie duka zima, nimelipa kodi miezi8. Au akipatikan mtu nimuajiri mshahara maelewano!
@ChademaTZ2 Kwani sheria inasemaje? Wakili anaruhusiwa kujitoa pale anapoona hakimu yuko bias? Na akijitoa ni sahihi kisheria hakimu kuendelea na kesi bila upande mwingine kuwa na wakili? Na kama siyo CHADEMA inaweza kupinga uamuzi wa hakimu?.