@foto_tz Jmn nchi niyetu, shelia nizetu ebu oneni aibu wabunge wetu kwahili jmn mpaka tunashindwa kupata wana wake wakuoa jmn tunaeda wapi kemeeni hili so good je wajukuu zetu huko mbeleni si watatembea uchi kbs,
@foto_tz Mimi naona nchi ibadilishe shelia kbs kwa madada na vijana, 1)ukiona mwanamke yeyote amevaa nusu uchi vazi ambalo halisitairi, akamatwe awekwe dani kutoka faini 50000,na viboko juu kumi, navijana hivyo hivyo, ipungue hii ya kuzalilisha taifa,
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo Jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. Amesema “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dk. Msukuma.”