@king_lameck Uyu ni mnafiki tu kama wanafiki wengine na ukichunguza tweet zake zote utagundua kuna kitu ajahoji kwa mapenzi ya simba kunankukomoana nyuma yake jiukize kigwangala anatakankipi kati ya hoja zake
https://t.co/O1SW2QtDd2 za CEO
2.jinsi alivyopatikana CEO
3.kashindanishwa na nani
@VALERIAN_FUSSY Hiyo ni kweli ajira yangu yankwanza nilienda kumtembelea uncle wangu ofisini kwao ninprivate company,nikakuta wanaangaika kuusu networking yao nikajiongeza kuwa saidia nikafanikiwa nikaondoka kesho yake uncle aninipigia naitwa na mwenye company nikalamba ajira
Si ndo ile uje na bei yako jamani tunaclear hizi shati official kila mtu awake kwenye ofisi yake
Mikoani tunatuma hapa deliver tunadeliver
Call/whatsap 0714 833 544📌📌
Tupo mwenge mpakani
Please retweet
#UsikwameTusapotiane#UsikwameTusapotiane