Chatta Dry Cleaners & Laundry
Tunafua #Mashuka na #Maduvet Kwa ubora wa hali ya juu na kuacha kitanda chako kikinukia muda wote .
Tupo Mlimani City - University road
Mawasiliano โ๏ธ 0622451918 | 0755830881
Follow us @Chatta_Cleaners
โKumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kaziโ
Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Sema vijana wengi kwa sasa wanapenda kufanya biashara zenye muonekano, hata akiwa mtaani ajulikane kwa biashara anayofanya,
But kuna biashara local zina faida haina mfano na hutumii nguvu, akili kubwa wala mtaji mkubwa.๐ค
Mikoa ambayo ipo nyuma kimaendeleo yani Elimu, afya, uchumi na miundombinu nchi Tanzania.
1. Lindi
2. Mtwara
3. Rukwa
4. Katavi
Kwa kifupi huko unaweza maliza wiki zima haujashika hata buku ๐๐๐
Source: Tanzania National Bureau of Statistics
Kwa research ndogo niliyofanya hasa Dar nimegundua watu wengi wenye Samsung kuanzia S24 Ultra kwenda mbele wana maisha kiukweli ukweli.
Unlike wenye iphone 15 kwenda mbele wengi ni wasanii ๐๐