Tunapoelekea Sikukuu ya Mkulima (Nanenane 2024) usikose kushiriki kwenye majadiliano mubashara yanayolenga kuonyesha jinsi mnyororo wa thamani wa kilimo unavyoweza kuwa chachu ya maendeleo kwa Mkulima. Alhamisi hii, kuanzia saa 1:00 hadi 3:00 usiku, jiunge nasi kupitia X/Twitter Space kwa maarifa mapya na mbinu bora za kilimo.
Bofya hapa kujiunga kupitia XSpace hii https://t.co/t7sWZjYkTL
#MboleaNiYara
#knowledgegrows
#YaraTanzania
#Xspace
MAONESHO YA KILIMO NANENANE 2024
Tunapenda kuwakaribisha wakulima na wadau wote kwenye mabanda yetu ili kujionea na kujifunza mbinu bora za kilimo, matumizi sahihi ya mbolea pamoja na lishe bora za mifugo kutoka @TanzaniaYara .
Utaweza kupata mbolea zetu kupitia mpango wa ruzuku pamoja na lishe zetu za mifugo kwenye mabanda ya maonesho ya Yara yaliyopo DODOMA, MBEYA, ARUSHA, TABORA, MOROGORO PAMOJA NA ZANZIBAR.
#MboleaNiYara
#YaraTanzania
#Knowledgegrows
#NaneNane202
Do you want to change the world? Agripreneur Prize Competition is on! Apply and participate in this year’s GoGettaz Africa challenge and you get a chance to scale your agri-solution.
3.Tumia Hashtag #ShareMiCROP unapowashirikisha wengine kwenye posti hii.
4.Share mara nyingi uwezevyo kuongeza nafasi ya kushinda.
Kampeni hii itaanza tarehe 12 Desemba 2022 - 6 Januari 2023. Washindi watatangazwa kila wiki.
#ShareMiCROP#YaraTanzania#MboleaBora#MboleaNiYara
Tukisheherekea wiki ya huduma kwa wateja tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa kutuamini.
Kwa wakulima,tunawashukuru kwa kutumia mbolea za YARA na kuendelea kukuza maarifa ya kilimo kupitia mabwana shamba wetu waliopo mikoa yote TANZANIA.
Je! Unajua leo ni Siku ya Mbolea Duniani?ni alama ya maadhimisho ya kumbukizi ya kugunduliwa kwa usanisi wa amonia mwaka 1908 “Mapinduzi ya Kijani”mwanzoni mwa karne ya 20.Shukrani kwa ugunduzi,Yara imeweza kutengeneza virutubisho bora zaidi vyenye kutoa lishe kamili na linganifu
Proud to be part of #YaraInternational ranked as no. 29 on #FortuneMagazines#ChangeTheWorld list. A list of companies racing to tackle society’s unmet challenges. assisted to improve food security and strengthen local food systems. View more at. 👉 https://t.co/HWqmL7YRTA
Yara is honored to be on the @FortuneMagazine#ChangeTheWorld list for our #ActionAfrica initiative. 🌾 Learn more about Action Africa below and read about our placement on this year's list. 👉 https://t.co/8XegrfJtFc
Kilimo ni sayansi kilimo ni maarifa kilimo ni taarifa kwa kuzingatia haya Malembo tunato Maarifa na mbinu za kufanya kilimo kwa matokeo mazuri
Pilipili hoho moja wastan wa kutoa uzito 150gm-250gm kama umefata ushauri wa kitalaamu. #WeFarmWithYara#KilimoNiAjira@TanzaniaYara
Umeshawahi ona chaneli yetu #YouTube?
Tunataka kukusaidia kuwa mkulima bora kupitia shuhuda na taarifa za kilimo.Tunakushirikisha ushuhuda toka kwa Bw.Japhet Thomas mkulima wa zao la Nyanya, aliyetushirikisha mafanikio yake na mbolea za Yara.Tazama hapa: https://t.co/xdPxHEHOVY
Mabwana shamba wetu ni wataalamu na wako tayari kukusaidia. Kwa swali lolote kuhusu mbolea zetu. Tupigie kupitia namba yetu ya huduma kwa wateja. #YaraTanzania#Knowledgegrows#Mboleazenyeubora
The State of Agricultural Commodity Markets 2020 is out!
#SOCO2020 offers a detailed analysis of the major global trends in trade & agri-food markets, & how they can bring us closer to achieving the #Agenda2030
Check it out 👉 https://t.co/DG0aOovjO2