Exclusive interview na @TrabzKefi kwenye #ChendaVibes 1pm-5pm na MC Gabu Mwarabu.
One of the best upcoming artist from Kilifi.
#TalentsInKilifi
Skiza Show Online 📷 https://t.co/Z5ERWxTo3i
Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 19 anashukiwa kuwa mvamizi wa aliyenaswa kwenye kamera akimshambulia polisi juzi Jumapili.
Ian alikana mashataka ya kumwibia simu Koplo Jacob Ogendo yenye thamani ya 50,000, betri ya kifaa cha mwasiliano na kukataa kukamatwa
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa polisi, kijana huyo aliyetambulika kama Bakari Juma inasemekana alitoka kitandani kuenda kujisaidia mwendo wa saa nane usiku na hakuonekana kurejea.
Mwili wake umepatikana ukining'inia nje ya mti kando ya makazi yao.
#chendanews#SautiYaChenda
Magavana sita kutoka eneo la pwani ikiwa ni pamoja na Mombasa, Kwale, Taita Taveta na Kwale, wamekataa mwaliko wa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi kujadili na kutatua suala la Muguka.
#SautiYaChenda#ChendaNewsUpdates
Enzo Maresca apewa mikoba kuinoa Chelsea, Mbappe ajiunga na Real Madrid. Harambe Stars kwenye maandalizi kucheza na Malawi.
Karibu #DimbaDimbani na HABZO Sports 9-10am.
Skiza Show Online 👇https://t.co/Z5ERWxTo3i
HABARI ZA HIVI PUNDE!
Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wamethibitisha kumnasa mshambuliaji Kylian Mbappe kutoka Paris Saint Germain kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka mitano.
#dimbadimbani#mbappe#chendanewsupdates
Karibu #NuruZaPunga nafsi ipate kutulizwa na mziki wa wa wakubwa hadi saa sita usiku na Papaa Adesh #003 presenter.
Unamkaribisha nani kwenye kipindi.
Skiza Show Online 👇https://t.co/Z5ERWxTo3i
Masaa ni ya kulizegeda aste aste hadi mwendo wa saba mchana ukiwa na @PapaaAdesh Ungependa tukuchezee ngoma gani ya Bango?
Skiza Show Online 👇https://t.co/Z5ERWxSQdK
Borussia Dortmund inashiriki fainali ya Ligi ya Mabingwa ugani Wembley miaka 11 baada ya kupoteza 2-1 kwa Bayern Munich kwenye uwanja huo huo mwaka 2013.
Timu hiyo ya Ujerumani ilizitoa PSG na Atletico Madrid kutinga fainali.
Real Madrid inacheza fainali ya 18 ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuitoa Bayern nusu fainali katika uwanja wa Bernabeu.
Mabingwa hao wa La Liga wanawinda rekodi ya kuwania kombe la #UCL kwa mara ya 15.
Nani atabeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya #UCL hii Leo?