@TMnyama4_ Issue ya kawaida hiyo Chief, hakuwa anakufukuza Kwa nia mbaya ,Kwa Umri Wako huo ,Kukaa Nyumbani na ameshakupa mtaji wa 25M na haoni progress Yeyote kutoka kwako,alitaka Ujiongeze Uondoke Ukapate Ukomavu ,Mpigie Simu na Chochote kitu Mtumie Moja Kwa Moja.
@TMnyama4_ Hapo Kuna Mambo Manne ya Mhimu anatakiwa Kuzingatia.
1 Pyschologia yake inatakiw Kuwa Vizuri apate Usaidizi
2 Aangalie Ulaji wake Hivyo ikimpendeza aingie kweny program Maalum ya chakula.
3 Mazoezi ya nyonga na kiuno
4 apate dawa Wakati Mwingine testosterone inakua imbalance