"Moussa Sidi Yaya Dembélé" zaidi Ya Kiungo
Uswahilini wakawa wanamuita Dembele Makonga moja ya zawadi ambayo haikudumu sana kwenye macho ya watu What a Gift, What a Talent angezaliwa kule Amerika Kusini mitaa ya Fuerte Apache Argentina au Sao Vicente Brazil basi tungesema hii
✍️KADI NYEKUNDU 23 NA BADO WANASHIKA NAFASI YA 2 KWENYE REKODI.
Mchezo wa dabi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro umeingia kwenye historia Baada tutolewa kadi nyekundu 23 katika mechi moja.
✍️KADI NYEKUNDU 23 NA BADO WANASHIKA NAFASI YA 2 KWENYE REKODI.
Mchezo wa dabi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro umeingia kwenye historia Baada tutolewa kadi nyekundu 23 katika mechi moja.
Tukio hili hadi leo linakumbukwa kama moja ya matukio ya ajabu na ya kushangaza kuwahi kutokea kwenye uwanja wa mpira.
Huku Amerika Mpira ni Zaidi ya vita, moja ya Rekodi nyengine Ambayo inaushi mpaka ni ya Alberto Bedoya mchezaji Mwenye kadi nyekundu nyingi, kadi Zaidi ya 40.
huu ni mteremko ambao unaibua maswali kuhusu mwelekeo wao
Je, ni kipindi cha mpito tu — au ni dalili ya kuporomoka kwa hadhi ya “Bianconeri” barani Ulaya?
Historia yao ni kubwa. Lakini Ulaya haisubiri jina — inahitaji ubora uwanjani. ⚪⚫
🚨 Safari ya Juventus katika UEFA Champions League kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa kinyume kabisa na historia na hadhi ya klabu hiyo barani Ulaya.
• 2019 – Wakatolewa na Ajax
• 2020 – Wakatolewa na Olympique Lyonnais
• 2021 – Wakatolewa na FC Porto
• 2022 – Wakatolewa na Villarreal CF
• 2023 – Wakashuka hadi UEFA Europa League
• 2024 – Hawakushiliki mashindano ya Ulaya
• 2025 – Wakatolewa na PSV Eindhoven
• 2026 – Wakatolewa na Galatasaray
Kutoka kuwa tishio hadi kupoteza uthabiti wa kimataifa,
▪︎Viwanja Vitakavyotumika kwenye michuano ya World Cup Qatar 🇶🇦 2022 na Michezo itakayopigwa.
🧵
🏟 Lusail Stadium Capacity 80,000.
👉 Michezo mitano hatua ya makundi
👉 Mchezo Mmoja wa "Round of 16"
👉 Mchezo Mmoja wa "Quarter-Final"
👉 Mchezo Mmoja wa "Semi-Final"
👉 Final
Magoli mengi kuliko Rivaldo , magoli 30 sawa na Ricardo Kaka na nyuma ya magoli 13 dhidi ya Neymar kwenye orodha ya wabrazil wenye magoli mengi kwenye champions league...
VIN 🥶
Vinicius Jr tena na kiwango cha ulimwengu , siku ya jumamosi kwenye mchezo wa Real Madrid dhidi ya Levante kila aliposhika mpira alizomewa na mashabiki wa klabu ya Real Madrid..
Zilikuwa ni fujo za mashabiki ambao walimshtua aongeze kiwango kwa Real Madrid maana jukwaa
la kujifunga na Vinicius amefunga goli 1
Vinicius Jr hadi sasa ana magoli 30 ya champions league , Vinicius huyu ametoa pasi 29 kwenye champions league, ni idadi ya jumla ya uhusika wa 59G/A ndani ya michezo 75 ya Ucl..