Ushabiki ni kazi ngumu sana hasa pale unapokuwa unamponda mchezaji wa timu pinzani mwishoni unajikuta anasajiliwa na timu yako inakubidi uanze kutafuta mazuri yake ili aonekane mzuri.๐
@MarekaMalili psychologically tu imejengeka ivo hata usipoambiwa na mtu lakini Kila kazi ina itifaki zake na usipofuata Kuna namna inaweza kuathiri utendaji wako.
@mee_nicodemus Ni usajili mzuri yanga wamefanya kwa experience yake ataongeza kitu kikubwa sana kwenye timu lakini hata kibiashara pia anaongeza thamani ya brand.
Katika vitu ambavyo Misri mnataka kuikosea Dunia ni kuruhusu comeback .!
Hata kama namkubali Messi lakini hii Argentina ipo washed kufika mbali katika haya mashindano .
At some point timu ambayo ipo serious itoe adhabu.