Kiungo Khalid Aucho amefanyiwa Sub baada ya kuomba kutolewa mwenyewe na kuonekana amepatwa na maumivu ya misuli ya paja la mguu wake wa kulia. Endelea kufutuatilia zaidi kwa taarifa zaidi.
Pongezi kwa Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji kwa kutajwa na jarida la Forbes kuwa tajiri wa 12 barani Afrika baada ya utajiri kupanda kutoka USD 1.8 Bilioni hadi USD 2.2 Bilioni.
Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Pyramids FC (Misri) vs FC FAR (Morocco) utakaochezwa kwenye uwanja wa 30 June, Cairo, Misri Aprili 1, 2025.