I'm now over two months free of alcohol and drug abuse and I thank Allah.
Been documenting my sobriety journey to be shared after a year or five inshallah.
Sometimes huwa nashangaa mbona these politicians lauch contribution channels for campaign money. Unamaanisha venye wanatuibia hawana pesa enough? Wale huwa wanacontribute lazima ni mafala sana aki.
@phtaalates@DantizerCFC Mtu anasimama kwako anataka kutoka na TV na Fridge bana inabidii uambie jamaa wa Mpesa skuma hapa ninakurudishia after 10 mins kumbe ni kiraka
Kuna company inaitwa Demula wanakupea loan ya 10K lakini wanakata 500 ya registration halafu transaction fee ya 250 baada ya hapo utakuwa unalipa 3200 kila wiki hadi month iishe usipolipa hiyo month kuna penalty fee ya 12%