@RealChrisRiungu Hii ni content creation. If you are a ‘BRAYO’ and receive such clips , hold your horses, don’t celebrate. You are getting scammed. AMA kuna kitu anaficha, ama anomba msamaha na ujanja
@ntvkenya@loftymatambo@labaanshabaan Pia Shida ni wakaaji wa Nairobi. Serikali ikiweka mikakati ya kuzuia Nganya na Nyokanyoka vijana watasema Ruto anaua creativity na kazi za vijana. Then volume ya WANTAM itaongeza
@ouma_neko Take away Matiang’I from the opposition. All Kisii back to Ruto. Ama Toa Kalonzo hapo, wakamba Wote kwa Ruto. Nobody is standing with Kikuyus, wewe ndio dwanzi haupigi hesabu. Toa Tawe na Sifuna, waluhya Wote wanahepa. They are there coz ya hope kuwa their tribal kingpin atapata.