Online & Web Reporter, Mwananchi Communications Ltd, publishers of Tanzania's leading newspapers - Mwananchi, Mwanaspoti,The Citizen & MCL Digital programmes.
📸📸📸 *DC ITUNDA AKUTANA NA WADAU WA KILIMO CHA KOROSHO WILAYA YA SONGWE*
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mh Solomon Itunda amefanya kikao na wadau wa kilimo cha korosho na kuweka mikakati ya kuanza rasmi kilimo hicho mwezi Oktoba.
_"Kwa Pamoja Tunaijenga Songwe."_
What comes to mind when you read this quote by Mike “Iron” Tyson? “Everyone has a plan, until they get punched in the mouth.”
#resilience. Photo: Financial Clarity Blog.
Ijumaa Machi 26, 2021 saa 10: 50 jioni, Mwili wa Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania, John Magufuli umeshushwa kaburini nyumbani kwao Chato.#RIPMagufuli
The fifth President of Tanzania John Magufuli lowered into the grave in Chato on Friday 26 March 2021 1650Hrs.#RIPMagufuli
Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa yangu niaba yangu binafsi na niaba ya Watu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwashukuru Watanzania wenzangu,
KIKOSI cha Yanga kipo jijini Mbeya kikijiandaa na mchezo wao ujao wa duru la pili dhidi ya Tanzania Prisons, huku kikiwa na rekodi ya kumaliza kibabe duru la kwanza bila kupoteza mchezo wowote katika mechi zao 17. https://t.co/2l2DNVAdjn
KIPA wa KMC, Juma Kaseja ni mmoja wa wachezaji wazoefu na wamecheza Ligi Kuu kwa muda mrefu, amewahi kupita katika timu mbalimbali kama Moro United, Simba, Yanga, Mbeya City na Kagera Sugar akijizoelea umaarufu kutokana na uwezo wake anapokuwa langoni. https://t.co/OfinuJCCNj
MCL kwa mara nyingine inakuletea #MwananchiForum awamu ya Nane ambapo tutaangazia na kujadili namna ya KUKOMESHA UNYANYASAJI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO .
Ni Tarehe 26, Nov 2020, Ukumbi wa Kissenga, Millenium Tower.
KUJISAJILI tembelea https://t.co/GDfX0dTUua
TUMERUDI TENA
Tumerudi tena, hii ni baada ya kutokuwapo hewani kwa miezi sita.
Tunakuahidi kuwa tunarudi upya kukuletea maudhui ya kiweledi kwenye tovuti yetu katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimataifa.
#TumerudiTena#MwananchiComeBack