Join us at Mliman City VIP for our breakaway session - Youth in Leadership and Political Participation, you’ll hear from @IRIglobal 2021 Ideathon youth @ChilumbaMbaraka from ACT-Wazalendo sharing insights on youth participation in political party’s activities. @USAIDTanzania
Heri ya Kuzaliwa Mwanangu Kabil
Mei ni mwezi ambao wanangu Nabil na Kabil walizaliwa kwa miaka tofauti na tarehe tofauti. Leo tarehe 10.05.2020 ni siku ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Kabil, anatimiza miaka 2, Namtakia heri.
Happy Birthday Kabil Mbaraka Chilumba
@zittokabwe @GuardianAfrica @dailymaverick The people of Mozambique are living with us in Mtwara Region Tanzania without working or living permit, we treat them as part of family, but unfortunately they kill us when we go at their home and destroy our property! Bad enough no strong measure from their government!
@Nnauye_Nape Ilizaa matunda na hii Ziara itazaa matunda, Vita ni Vita tu_kila mbinu na siraha zitatumika kumuangamiza adui, tumejifunza uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hatutarudia Tena makosa ya kuona mtu anavuruga alafu tuwe kimya! Pongezi kwa Beberu USA na azidishe vikwazo
@bbcswahili Vladimir Putin na Urusi yake ndio mbabe wa dunia aliyesalia, USA ijiangalie. Urusi hawajasahau umafya uliofanywa na USA enzi za Vita baridi, nae ameanza kazi ya kulipiza kisasi ndio maana leo amebadiri serikali yake na Jana aliambiwa ameidukua USA
@moodewji Kuna viongozi wenzako wapo Simba bado wanaihujumu team na hawajuwi kwanini wapo hapo, Boss ondoeni hao viongozi na pangueni hiyo Safu ili mbaki viongozi Serious!
@zittokabwe@HusseinBashe@MagufuliJP Mawaziri ya staili ya Bashe ni ubabaishaji mtupu, kama hizo pesa anazijua zilipo uchunguzi wa nini? Hii ni serikali inayofanyika ufisadi mkubwa mkubwa kuliko serikali yoyote iliyowahi kutokea Tanzania
@zittokabwe Mambo yanaenda ovyo sana! Watu wanakufa Tanga kwa kutumbukia mtoni kwasababu ya miundombinu mibovu, muda huo huo TV zipo busy zinaonesha mapokezi ya Ndege!