@TheRealEkiswaga@AmbajoMathew Simpigi Mkwaraa nilifika mpaka Dukani kwake na nimekaa zaid ya 20 nachagua chagua accessories zake anazouza na alikuwa na mtoto....na picha zake ninazo nangojaa anitukane tenaa."
Hapa bado hujamsamehe.
@shaffihdauda1 "amefanikiwa kuirejesha ligi kuu ya Ubelgiji klabu ya Zulte Waregem".
Amefanikiwa kuirejesha klabu ya Zulte Weregem katika ligi kuu ya Ubelgiji.
@TweveDevota@ManenoIzaak@MustaphaBurhani@yose_hoza Kwani mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji ya mjini na kijijini ni sawa? Je, jamii ya mjini ni sawa na jamii ya mjini?
Kiufupi walimu wa kijijini hutumia nguvu kubwa sana kutimiza wajibu wao kuliko wale wa mjini kutokana mazingira ya ufundishaji na jamii inayoizunguka.