Mwanamke usifute namba yake wala usim'block. ILA USIMTAFUTE.
Mfanye ajue kuwa unauwezo wa kumfikia lakini umechagua kutofanya hivyo..
Wanachanganyikiwa sana wakigundua wanapuuzwa kuliko ukiamua kushindana nao..
Kuna wamachinga waliofukuzwa Kโkoo.
Kuna boda boda wanaodakwa kila siku wakiingia Kโkoo.
Kuna madereva waliogoma.
Halafu kuna wale mahobeboys waliorudishwa toka kwazulu!!
Haya makundi ni muhimu sana kupewa alternative nzuri na bora ya wao kupata mkate wao wa kila sikuโฆ..
Vinginevyo baadae mtaanza kutafuta mchawi!!
๐ฃ๏ธOoh wametumwa na mabeberu
๐ฃ๏ธWameshawishiwa na taasisi za nje
๐ฃ๏ธSio watanzania ni vikosi toka nje
Itumike busara kutegua bomu hili!!
"Hata hao unawasikiliza wakiimba mbigu zinageuka wanatumia kampuni nyingine" maneno ya joel lwanga hii itakuwa ya Mwisho nitawaletea kuhusu namna wasanii wameamua kuja na mfumo wa kuimba gospel kuteka waumi wa kweli ๐ข๐