Chavchav wa Manjesta united leo wanatumia4-2-3-1 kwa kufany pressing ya kaliba kwa kutumia wings,uku fullback wao wakiingia ndani wakichange dabo pivot kusogeza team juu kwa mikimbio huru,ushindi itetegemea na constistency kwenye half space and counter pressing kwenye final third
Kwa wale wahenga ambao maktaba zao zinajitoshereza, kalenda ya mwakani 2026 iko sawa na ya mwaka 1998.Katika kubana matumizi hasa ukilinganisha na uwepo wa ada, pango, madeni n.k, inashauriwa tusinunue kalenda ya mwakani badala yake tutumie ile ya mwaka 1998.