@Labella_Mafia95 Kukuta mfanyakazi kalisha sumu familia nzima wala sitashangaa. Kamwe usimtendee mabaya mtu uliyemkabidhi dhamana ya afya na uhai wa familia yako. Umetoka uko kwenye mishe zako unarudi unakuta maiti na yeye kapita zake ivi na hata kwao hupajui Ulipewa tu namba ukatuma nauli