@kaninikega1 anaskia atakula risasi akose kusimama kiti ya mp kieni nyeri county anatokwa na wazimu.usijali mhesh hata wakukimbize na risasi sisi kama.njeshi ya kieni tunasema kiti ni yako 2027
Mliamua kutoa nguo na kujianika dio form Sasa,anyway congratulations,niwakati wenu ata engonga alikueko, Bora msijinyonge tukichoka kubwa hizo vibwenye zenu๐