@MariaSTsehai Sister! hilo la picha linaonekana wazi kabisa, wala halina ubishi. Nafikiri wangekiri tuu kwamba yametokea makosa ya kiufundi, then liundwe upya. Sio dhambi kuliunda upya vinginevyo hiyo sio sura ya Baba wa Taifa.
@nyuki_malkia Ni kweli dunia imejaa mitihani ya kila aina. Ukiwa hai hakuna level ambayo unaweza kuifikia then uamini ya kwamba huwezi pata tena mitihani ya dunia. Hakuna! tuheshimiane aisee.
@bbcswahili nadhani ni makosa ya kawaida kwenye ufundi. Kama nia ni kuweka sanamu lenye sura ya J.K.NYERERE nchini Ethiopia, liundwe tuu upya sio dhambi. Vinginevyo hiyo sio sura halisi ya Baba wa taifa la tanzania.
@nulphin@ghoghomrinyi@SuluhuSamia Ninaamini asilimia ๐ฏkama watoto wao wangekuwa wanapata adha za namna hii, nadhani ufumbuzi wa haraka ungepatikana.