@Bertlet_mc For us Chan is like street league so you canโt compare Tz league with yours Bro!! Better keep quiet we knw how u normally using force to get in grounds ๐๐๐๐๐๐ We Tanzanianโs will start joining Chan at semi stages with full house
Kuna majibu ya msingi sana kwa waanzilishi wa G 55
Nadhani kwa hii video tukubaliane kwamba jamaa ni wasaka tonge tu hakuna zaidi
Haya maneno kwenye video ndicho hasa kinaendelea ground, hata wao wameshindwa kutaja hata chama wanaenda maana wanajua pressure ya umma itaua hicho chama na kuitwa chama cha wasaliti
G 55 iko disorganize kwa level hata hujui ni kauli ya nani ya kufuata, kuna mkanganyiko na makelele mengi
Nadhani sasa tupambane na #ToneTone na #NoReformsNoElection hawa Madalali wa G 55 kazi yao imeisha hakuna jipya wengi wao ni wapuuzi hata kwenye maisha yao binafsi wana ushenzi mwengi sana, chukua mmoja mmoja na mchambue hakuna watu ni wahuni watupu