Mara nyingi changamoto tunazopitia zinatupatia mafunzo mbalimbali katika maisha, zinatujenga na kutufanya jasiri katika maisha yetu na zinatukuza pia, tuendelee kupambana.
Good morning family.
Kila kitu huja kwa sababu
Kila mtu huja kwa sababu
Kila changamoto huja kwa sababu
Kila furaha huja kwa sababu
Ushindi ni kuweza kupokea kila kinachokuja bila matangazo
unaenda kumuombea msamaha mshikaji wako kwa demu wake alafu demu anakujibu
“Kwani anachokitaka kwangu wewe hukitaki” hapo ndp utajua nguvu ya shetani ipoje..😅🫵🏾
Acha kujitoa kupita kiasi kwa ajili ya watu. Wape nafasi kwa kiasi wanachokupa, zungumza nao kwa kiasi wanachozungumza nawe, na washirikishe kwa kiasi wanachokushirikisha.🤝
🙋🏾♀️ Habari !
Kua makini mtaani kumejaa tu wanawake waliojaa hila na upendo nusu nusu na lengo lao kuu la kuingia kwenye mahusiano na wewe likiwa ni ili kupata misaada ya kiuchumi tu na si vinginevyo 🤔 .