BREAKING NEWS: Polis wamezuia mkutano wa Mbarali ambao ulipaswa kuhutubiwa na Makamu M’kiti @HecheJohn na Dr. Wilbroad Slaa. Wame deploy polis kutoka mkoani, gari za washawasha. RPC, OCD wapo eneo la tukio. Wamemkamata Katibu Wa BAWACHA, Grace Vaaye.
REPOST 200🔥🔥🚀🚀