๐ด๐ต| TAARIFA.
Tunapenda kuwaarifu kuwa Ndugu Yussuf Juma Haji(Pichani Kulia) atakaimu nafasi ya Katibu wa Klabu kuanzia leo hadi hapo itapotoka taarifa nyengine.
#NiZaidiYaTimu#serious#zanzibarschoolofhealth
LIGI DARAJA LA KWANZA ZANZIBAR
23โ Chuoni 0-0 Kilimani City
Mechi hii ipo mubashara muda huu katika Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz
Unayapata matangazo ya mechi hii mubashara kupitia 100.9 Coconut fm
@coconutfm100.9
@zffzanzibar@startimestz
Kocha Msaidizi wa Chuoni FC Hassan Haji akitoa maagizo kwa wachezaji wake katika mechi ya Ligi dhidi ya Strong Fire iliyomaliza 0-0 leo
Benchi la Ufundi la Chuoni FC linavalishwa na Zanzibar School of Health Zanzibar School Of Health @ZshOfficial@amour_maryam@Binsule84