Ikiwa wewe ni mke wa mtu au girlfriend wa mtu na mwanaume akakutongoza na anajua kbs wewe ni mke wa mtu au girlfriend wa mtu…..
Tambua uyo mwanaume amekuzarau mpaka hatua ya mwisho kabisa….✍️✍️
Kuna wanawake wanaishi na mwanaume ndani sio Kama mke bali Kama mwanamke tu…
Sasa usitegemee watoto wako wa kike wakaja kuwa Mke kwa mume ikiwa wewe sio mke kwa baba yao
Mana kuna tofauti Kati ya kuwa mke ndani na kuwa mwanamke ndani✍️✍️
Take Note✍️
Maneno magumu.
“Unawezaje kuwa Mke ikiwa mama ako sio Mke?”✍️✍️.
Uwezi kujifunza kuwa dereva wa denge kupitia dereva wa pikipiki. Na uwezi kujifunza kuwa dereva wa gari kupitia dereva wa denge.. lazima ukoroge mambo✍️✍️
Tafakuru la leo.
Kuna kujioa, kuolewa, na kuoana.
Kama mme wako anafanya majukumu 75% wewe unafanya 25% apo umeolewa.
Kama mme wako anafanya 50% na wewe 50% apo mmeoana.
Kama mme anafanya majukumu 25% wewe 75% apo umejioa✍️✍️✍️.
AINA 8 YA WANAWAKE WANAOWEZA
KUKUCHELEWESHA
KIMAISHA
Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama-
kwenye tope, hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.
Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:
1. Mwanamke mzuri bila akili.
2. Mwanamke anaependa maisha laini (soft life)
3. Mwanamke asiye kubali uwe mbali nae
Nimesoma Biblia kuanzia Mwanzo hadi
Ufunuo, mara 8. Sijaona sehemu yeyote ambayo Shetani ameuwa mtu/watu
directly
Mungu yeye ameuwa SANA; mafuriko ya Nuhu, Sodoma & Gomor, majanga ya Misri, mapigano ya Korah, vifo vya
Wamaleki, Ahabu nk
Ila, tunatakiwa tumuone Shetani ndio mbaya.
Kwa mawazo yangu...
Shetani nae aandike kitabu chake tujue hoja zake sio kila siku wanamsema vibaya tu nae atuambie Kwanini aliamua awaachie mbingu yao..?
Hizi vita kuanzia UKRAINE, GAZA, mpaka GOMA Trump ndio mwamba mwenye karata ya kuzimaliza na silaha kubwa aliyonayo kwa sasa anayoitumia ni vikwazo vikali vya kiuchumi ukifurukuta anakubana mpaka uhombe maji ndio Serekali ya Trump hiyo sio mzaa
FOLLOW US
Hatimaye Raisi wa RWANDA Paul Kagame amekubali mazungumzo ya kusitisha vita Mashariki mwa JAMUHURI YA KIDEMOCRATIA YA CONGO baada ya kufanya mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa MAREKANI Marco Rubio ambaye alionya RWANDA kusitisha vita hivyo mara moja na
kumaliza mzozo huo Mashariki mwa DRC
Katika kipindi hiki ikulu ya MAREKANI kiko chuma kwelikweli Trump hana utani, Rais wa COLOMBIA alijaribu kufurukuta ndani ya masaa 24 lakini alikubali yaishe