Viongozi waliochaguliwa na IENEC kupitia wasimamizi wa vituo na makarani wameshupaza shingo.
Kwa madai kwamba waandamanaji wametoka nje ya nchi bila kutaja nchi wanazotoka.
Ukiona hii propaganda usisubiri uwajibikaji wao kwa damu walizomwaga bila hatia.
#RIP our heroes
Sauti hii inadaiwa ni ya Naibu Waziri wa Utumishi, na Mbunge wa jimbo la Kwela, Deus Clement Sangu akimtishia mjumbe wa CCM ambaye hamuungi mkono. Fikiria CCM wanatishiana uhai wenyewe kwa wenyewe kisa ubunge, halafu kuna "akili ndogo" zinajitoa Chadema zinaamini zikigombea kupitia "chama cha ubwabwa" zitapewa ubunge kama zawadi. Chadema tunasisitiza No Reforms No Election. Hatuko tayari kushiriki uchaguzi utakaogeuza ndugu zetu vilema na wengine kupoteza maisha. Tunataka uchaguzi ambao kura ya mwananchi itaheshimika na itafanya maamuzi. Uchaguzi ambao viongozi kama Deus hawatatumia nafasi zao kuifluence matokeo. #NoReformsNoElection
‼️MJUE‼️
Harakati ya kudai haki haisusiwi! Ukisusa watakuja 1,000 wengine kuendelea ulipoishia
Lakini pia moyo wako hauwezi kuwa na amani ukikaa kimya! Ndo utajua Mungu bado ana kazi na wewe ✊🏽
Labda kama lengo haikuwa harakati ila mengine!
But #TutaelewanaTu
Haki vile tarehe inayofuata ya kesi ya Lissu kama wananchi hawatoenda Kisutu I think it’s time kina Lissu waachane na Watanzania maana watauawa bure for nothing. Lissu na wanachadema 200 peke yao hawatoweza kuleta mabadiliko Tanzania. Ni lazma malaki ya wananchi wasimame nao ndio watafanikiwa….
.
Kazi kucomment tu tuko na Lissu, kujaza comment kwenye social hakumsaidii Lissu kwa chochote kile. Kama uko na Lissu nenda Kisutu sio una comment upuuzi….
.
.
Bloku zinatembea kama kawa.
Dakika 3 za dhahabu za Askofu Jacob Mameo Ole Paulo, Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Morogoro. Sikiliza neno kwa neno, tena kwa utulivu. Anatema madini ambayo si rahisi kuyapata kwa viongozi wengine wa dini. Hakika hili ndio NENO KUU la IJUMAA KUU ya mwaka huu. Viongozi wakuu wa serikali waione hii clip kwenye jalada.!
No reforms no election sio agenda ya Lissu, ni jitaji la kikatiba la wananchi wote wa Tanzania.
Asante Kanisa Katoliki, mama wa dunia. Naamini watawala wana masikio ya kusikia na kuelewa.
My statement on the unjust arrest of @TunduALissu and what is a blatant and clear violation of human rights by the Tanzanian government. This criminal conduct by the state damages the image of the country and the interests of all its citizens.
https://t.co/Y51EFSNzOe
Friends, let’s join our Tanzanian comrades to demand for the release of opposition leader @TunduALissu. Injustice anywhere is injustice everywhere. East Africa shall be free again.
#FreeTunduLissu