๐งโโ๏ธ Today's #WednesdayWizard has mastered the art of heading ๐โโ๏ธ
๐ฌ Presenting Tanzania's Mbwana Samatta! ๐
๐น๐ฟ @Samagoal77_
Watu wenye uwezo mdogo kiutendaji mahala pa kazi ni wataala sana katika sanaa ya majungu. Kwanza, ni wazoefu wa kusoma udhaifu na mahaba ya Bosi, pili, wepesi wa kumtengenezea bosi mazingira ya hofu na udharura ili afanye maamuzi, haraka, bila kutafakari na nje ya utaratibu.
Waheshimiwa @umwalimu, @DocFaustine pongezi kwa juhudi mnazoonesha katika kupambana na #Covid_19
Taarifa za upotoshaji huanzia mitandaoni, Kwa nini msitoe training, mtutumie wahudumu wa afya tulio huku mitandaoni tuongeze nguvu, tutoe elimu na taarifa zilizo za kweli kwa jamii?
Feeling sorry for Bulgaria to be represented by such idiots in their stadium. Anyway.. 6-0 and we go back home, at least we did our job. Safe travel to our fans, u guys did well ๐ค๐พโค๏ธ