Usisikie tu 'Ana ngekewa' huyu ndiye Ngekewa mwenyewe, mnyama aliyebahatika kupendwa zaidi na wanyama wengine na ndege.
Wanyama na ndege hupenda kukaa karibu naye na kufurahia maisha. Ngekewa ndiye mnyama anayetajwa kama kiumbe mwenye bahati zaidi ya kupendwa na viumbe wengine.