โข The sound of the ambulance is noisy, until it comes from your house.
โข I'm sorry, doesn't mean anything to you until you hear it from a doctor
โข The hospital walls have heard more sincere prayers than church walls
Watu wakiona Vijana mtaani wametulia Vijiweni wanahisi hawapambani na hawako serious na maisha, ila kichwani mwa Vijana wengi kuna vita kali zinapigwa kuliko Somalia ama Iraq.
Mama kapiga goti nyumbani usiku huu akashika na tumbo ambalo lilikubeba, anamuomba Mungu ili mwanae utoboe kwenye hustle zako.
Mshua kiume tu anakunja ngumi kuwa mwanangu apigane kiume mjini arudi na ushindi nyumbani.
Kesho twende tena โtuna hawa watu wawili WANATUOMBEA โ๏ธ
Mtu analipa frame 1M per month, Ndani kaweka T-shirt zake 10, Na Jeans 7, Na Pea zake kadhaa za viatu, Usipagawe mwanetu, Zile nisehem zao za kukabidhiana mizigo yao ya Mamilioni, Ukiwaiga umeumia Rizika na Kidogo chako.