Tangu nijue juja imeanza kuwa na insecurity nliacha izo mambo za kuenda sherehe usiku sikuizi mimi uchill na msupa kejani tukiskiza some sweet 1990 Rnbs tukikunywa kahawa tu✌️
Kuna bois alipata dem hakuwa anajua ni career woman akaanza kuchampia akiwa mams wake vile atamfungulia kibanda ya mboga wakigrow akaambiwa ‘‘adios muchacho’’ mamae