Tarehe 29/10 /2025 hautasahaulika.
@SuluhuSamia anataka tunyamaze na kusahau haya
@mwigulunchemba1 anataka tunyamaze na kusahau haya
@MsigwaGerson anataka tunyamaze na kusahau haya
@PatrobasKatambi anataka tunyamaze na kusahau haya.
Imagine ndio angekuwa Abdul au Wanu (Watoto wa Samia) amelala hapo chini kwa kupigwa risasi Samia angetaka tunyamaze?
Imagine angekuwa yule mtoto wa Mwigulu amelala hapo chini kwa kupigwa risasi, angetaka tunyamaze?
Tutadai HAKI ya ndugu zetu mpaka ipatikane kwa GHARAMA YEYOTE.
Tutadai HAKI ya Taifa hili mliloliteka mpaka ipatikane.
Tutadai UKOMBOZI wa nchi hii mpaka upatikane.
7.7.7TUNATOKA. Ni siku ya UKOMBOZI. Samia na genge lako jiandae kisaikolojia.
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatibaโฆ Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Licha Ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Momba Kuhamisha eneo la mkutano ambalo awali lilipangwa kufanyika Tunduma mjini, na kulipeleka umbali wa takribani kilomita 15 kutoka mjini.
Hata hivyo,Wananchi Kutoka TUNDUMA Wametikisa!!!!
Tunduma Imeitika!!!!