Wamama wa pale Mirema Drive nayo hukuwa viumbe vya ajabu walai 💔. Kuna day nilikuwa nime toka shuguli zangu za mjengo around that estate, lakini ilikuwa nimechelewa, so nilikuwa naomba omba lift hapo kwa njia. Kuna benz niliona, and that car was fine as shyt, nikasema huyu ata na dawa awezi simama. I was surprised kuona German machine imeslow down adi penye niko, and the windows were rolled down. Sema, malkia mwenye alikuwa amekaa hapo mbele, the lady was sexy ASF. Alinipea lift kabla kunipeleka stage, alinipeleka kwake, ati “ndio, driver anifikishe home safely.” Tulipofika kwake, madam alitoa ridhe, akasema nipande kitanda, na hivo ndio nilibuy my first car.