Qatar 🇶🇦 vs Switzerland 🇨🇭 kwenye FIFA World Cup 2026. Nani ataanza safari yake kwa kishindo? 🤔⚽
Jiunge nasi LIVE kwenye Radio Maisha kuanzia saa 10:00 PM kwa uchambuzi wa moto, maoni ya mashabiki na burudani ya kiwango cha dunia 🌍🏆
Qatar au Switzerland? Weka prediction yako hapa chini.👇😂 ^MH
#KTNWorldCup26
#WorldCup26
#KTNSports
#RadioMaisha
#FIFAWorldCup2026