Imenichukua Saa kadhaa kutafakari tena juu ya umauti lakini pia kuondoka Kwa Gwiji la Soka Duniani.
Football imefiwa na Soka imepoteza Best Player of all time wake,Watu wa kandanda Tumefiwa π
Rest in peace Legend.
@Pele@CBF_Futebol@FIFAcom@SantosFC