Lord, renew my strength, guard my family, open doors no man can shut. Turn every plan against me into my rising. Let this season be different, and let my lifting be so loud the world knows it was You. Amen 🙏🏾
“Neema yangu yakutosha.”
#2Wakorintho 12:9
Shalom mtu wa Mungu na hongera kwa ushindi wa siku ya leo. Usijihukumu kwa kutoweza kufanya kila kitu leo. Neema ya Kristo ikutie nguvu katika udhaifu wako. Uwe na mapumziko mema usiku wa leo ktk jina la Yesu. Bwana yuko pamoja nawe.
amna ya kuishi kwa hekima.
Waefeso 5:1–2
1 “Hivyo mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa;
2 mkaenende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi, tena akajitoa kwa ajili yetu…”
Kama kijana nina ndoto na matamanio mengi sana, ila ni muhimu sana kuweka plans ya ndoto zako kwa kuanza na kimoja baada ya kingine kuliko kuwa unagusa hiki, unarukia kingine, always FOCUS, najua distraction ni nyingi sana na peer pressure lakini always FOCUS.
"There is a peculiar comfort in believing that our problems are always caused by circumstances beyond our control. It saves us from confronting the possibility that some of the things we wish to escape are sustained by our own choices."
2 Wakorintho 4:8–9
8 Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
9 twateswa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi.