Bado hata mshahara wa 600K hautoshi kama unaishi Dar. Nasemaga minimum salary take home inapaswa kuwa angalau 900K.
Sasa umepanga chumba 100K
Nauli ya kwenda na kuridi kazini 5K kwa siku, kwa mwezk - 150K
Chakula kwa siku 15K, kwa mwezi - 450K
Bando kwa mwezi - 70K
Umeme & bills za maji n.k - 30K
Jumla - 800K.
Hapo bado hujahonga, hujatoka weekend, hujaambiwa mjomba kameza panga ๐ซต๐.
Sio kwamba nina kipato cha zaidi ya 1M, mi mwenyewe hohehahe ila hali ya maisja ipo juu sana
Sahivi inabidi nianze kuishi kwa Formula sasa isije ikawa shida zingine najitakia mwenyewe, kama kuogea sabuni ya kufulia na kuna sabuni za kuogea. wataalamu sio Wajinga bana.๐
Nadhani Shigaka ndo bus lenye huduma bora kuliko yote hapa Tanzania!
Kila mtu aliepanda hili bus ana ishia kulisifia sijawahi sikia mtu akilishtumu bus la Shigaka!
Kuna mtu nilikuwa nabishana naye hapa kuwa Diego Simeone ni kocha mzuri akajibu โฆKocha wa kawaida sana โฆnilipomwambia kuwa Ana wachezaji 9 watacheza Fainal ya World Cup 19 july 26 kabaki kimya!๐๐
Mwanadada kutoka afrika kusini maarufu Kwa Lally Madia, Amesema Anapitia Changamoto kubwa sana Kutongozwa sana mtandaoni na vijana mpaka anajifikia hatua ya kujiuliza yeye ni mzuri kiasi hicho Cha Kutongozwa Kwa wingi?!
"Natongozwa sana ila Sina Imani kama Wana Mapenzi ya Kweli na Mimi, naamini Wana taka wajue nina ladha Gani kutokana na hali yangu"
๐ฃ๏ธLally Madia
Eti vijana Kuna nini hapa?
๐๐ฟWewe unauelewa mkubwa
๐๐ฟUko exposed na mambo ya kisasa
Unaakili
๐๐ฟUnajua vitu vingi
๐๐ฟUna exposure
๐๐ฟUmelelewa katika mazingira mazuri ya
pesa
๐๐ฟUpo huru sio ile kubanwa sana
๐๐ฟUko real
๐๐ฟSometimes you speak your mind ukiwa na nyege
๐๐ฟVitu personal hauongelei