Kuelekea Mchezo wetu wa EFL tutakuwa na ugawaji wa ID kwa Mashabiki wa Liverpool Tz
Vigezo: Retweet alafu tuma Taarifa zako (Majina yako matatu) Pamoja na picha yako ya Liverpool Moja DM)
#YNWA#Thereds
Kuna watu wanafikiri tunapom support Rais basi automatically tuna support wateule wake! Huo ni ujinga na upumbavu
Rais hajateua akina kipara wakUwe watu kwa CAG? Rais hajateua akina Kipara na Maharage wakaibe hela tanesco na REA. Rais hajateuwa kipara afiche hela Dubai!
Rais kateua watu wamsaidie kazi ya kutumikia watanzania na kwa uelewa wangu mimi kutumikia watanzania siyo pamoja na kuwauwa watu wa CAG kwa sumu , kukwapua hela kwenye manunuzi ya mita za luku feki, siyo kukwapua hela kwa wakandarasi wa REA
Kwa kuwa hayo wiyo majukumu aliyowapa Mh Rais basi wahusika tutawakaanga vibaya sana!..
Na kwa kuwa wako wengi basi mimi nimechagua January Makamba kwa kuwa magazeti, wanaharakati na wanasiasa wa upinzani wanamuogopa!
Sasa vitu vinavyoogopesha vinahitaji watu majasiri na wasioogopa hivyo huyu nimejipa kazi ya ku deal naye mpaka mmoja wetu afe!..Nyie endeleeni kumpa maua kama mnavyosema lakini mimi ninaye!..
January Makamba ni Makonda anayenyoa kipara and he is a MURDERER