@Jongajnr Huijui dunia ya biashara. Nitakuelewesha. Uwekezaji wa raia wa nchi yeyote nje ya nchi yake unalindwa na mikataba ya kimataifa na kikanda. Utakuwa umepata kusikia vitu kama double taxation agreement, hizi hutumika kulinda private investments. Ni wajibu wa nchi kulinda hilo
Katika bajeti HII mpya ya 2026 /2027 Jukumu hili lilikuw Chini ya TRA tangu ilipoundwa MWAKA 2000 na Sasà Jukumu hili limehamishiwa Kwa serikali za mitaa Chini ya ofisi ya Tamisemi
Sheria hii Inamaanisha mapato ya
Mabango yaliyo mijini yatakuwa yanakusanywa na city council