Maombi yangu leo ni kwa vijana wote wa kike na wa kiume wanaofunga na kuomba ili Mungu awape fedha lakini ni wavivu wa kutafuta na kufanya kazi, ni wepesi sana wa kuchagua kazi lakini pia ni wepesi wa kuomba... https://t.co/Gdv7cw3tur
Maombi yangu leo ni kwa wakristo wenzangu wote hasa wababa ambao wanatumia muda mwingi na kupitiliza katika huduma kuliko muda wao na familia na ukiwaambia wawe na muda na familia wanakuona "upo mwilini".
Watoto... https://t.co/pbSAJD1ZqC
NIGHT PRAYERS NETWORK
(MTANDAO WA MAOMBI YA USIKU)
Tuna Magroup Mbalimbali Ya Whatsapp,Tukishirikishana Masuala Mbalimbali Ya Kuomba Usiku.Tuna awamu 3 za Maombi.Unachagua Awamu Moja tu Yakuomba..
Magroup Yetu... https://t.co/LjYx9AX60F
VITAMBULISHO VYETU VYA TAIFA KWA MTU ANAYETAKA KWENDA MBINGUNI NI WOKOVU,YOHANA 3:16..
KAMA HAUNA WOKOVU BASI SIKU ILE SEHEMU YAKO ITAKUWA NI ZIWA LA MOTO.Mathayo 25:41-46..
LEO TUNAO WATU WENGI WANAOANGAIKA... https://t.co/L5a0PAjiXc
KANISA UNATAKA KUWA NA NGUVU? TENGENEZA NJIA ZAKO MBELE ZA BWANA.
Basi Yothamu akawa na nguvu, kwa kuwa alizitengeneza njia zake mbele za BWANA, Mungu wake. (2 Nyakati 27:6).
Neno la Mungu halipapasi papasi... https://t.co/VCFQcPZNBo
Kiwango chako cha kuwajua kwa undani watu unaohusiana nao kinaweza kukusaidia kujua namna sahihi ya kuhusiana na aina mbali mbali za watu. Sio tabia yenye afya kwako kuwa na watu unaowapenda na wengine... https://t.co/PBYJdh0pAK
NGUVU YA MAANDALIZI.
Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arobaini; nayo maji yakazidi, yakaieleza safina, ikaelea juu ya nchi. Maji yakapata nguvu, yakazidi sana juu ya nchi; na ile safina ikaelea juu ya uso... https://t.co/0gBKgSFQVe
Hata alfajiri ndipo malaika wakamhimiza Lutu, wakisema, Ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili waliopo hapa, usipotee katika maovu ya mji huu. Akakawia-kawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe,... https://t.co/aQCdmqhjqJ
UKIPATWA NA MAJANGA WATU WATASEMA SANA.
Matendo Ya Mitume 28:1-6
Tulipokwisha kuokoka, ndipo tulipojua ya kuwa kisiwa kile chaitwa Melita. Wenyeji wakatufanyia fadhili zisizokuwa za kawaida. Kwa maana... https://t.co/33kVlJxfj2
Mimi ni Mtume. Ooooo mimi ni nabii. Sijui mimi ni mtume na nabii. Sijui mimi ni hiki na kile na kingine. Why are we drawing soo much attention to ourselves and not the one we are called to represent, preach and... https://t.co/5BzgrYXDRO
A Strong 💪 Message 2020.. ⚠️ Just remember everything that comes out of the mouth/words 👄 is from the heart! (Matthew
15:18-20).. ✌️Shalom.✌️
Pastor Conrad Conwell
0753391634
(Whatsapp)
A Strong 💪 Message 2020. Its ok to ask others to pray for you. But somtimes God wants you to come to him in prayer. 🙏
🙏Seek him for yourself!
Pastor Conrad Conwell
0753391634
(Whatsapp)