Pamoja na mihangaiko yetu ya kila siku hakuna kitu kizuri kama kumkumbuka Mungu. Mtag mwanao ambaye ana miyeyusho mingi lakini kila time anapiga goti na kuomba Mungu.
@rich_msafii @billsepengaa @dicksonmsami#FridayNightLive#FNL#EastAfricaTV#HainaKuchoka
Huyu jamaa ni mhuni sana, anasema Rais Samia alikuwa anajieleza kwake kuhusu masuala ya NISHATI, mwanzo amesema alipitia tu IKULU kama kuonyesha fadhili kwa Rais Samia
Hiki kiburi kinatokana na nini? yeye ni rais wa nchi gani khbwa anafanya fadhili kwa Rais wa nchi? Mbaya anakwenda ambawa na Rais masuala ni NISHATI kwamba yeye wala hakuwa amekwenda hapo kwa issue hiyo ila iliibuliwa na Samia na akaanza kujielewa kwake
Wicknel alifugwa Zimbabwe kwa mtakaba wamasuala haya haya ya nishati kwa deal ya karibu Trillion moja
Mtu aliyefungwa nyumbani kwao kwa kushinda kutekeleza mkataba leo ndio huyo huyo Samia anajieleza kwake hili tupoteza matrilion ya fedha kwa huyu jamaa ?
Baada ya hayo matrillion ya fedha kupitea ajaibuka kuwa rafiki wa Karibu wa Rais wa Zimbabwe
Kwa maana nyingine tutapigwa na urafiki wake na Samia utaendelea
Anachotafuta hapa Samia ni mtu wa kuiba naye, huyu mama yenu siku hivi anatafuta watu waovu tu kutupiga hakuna formular nyingine
Na yawezekana tayari tumeshapigwa maana ameshakuja mara nyingi sana nchini na yeye kazi yake kubwa ni hiyo utekatishaji fedha hana heshima yoyote wala biashara inayoweza mpa heshima kufika IKULU
Ndio maana yeye uwa yuko na simu mkononi huku Samia akionekana kujieleza kwake , mwanzo tulifikiria ni picha tu it is confirmed kweli samia ujieleza
Wageni wote tumeona kwenye picha toka Samia ameingia madarakani hasa wa Kiume ni wachache wamemkumbuatia Samia
Ni kinyume cha uislamu Samia kukumbatia namna hile, lakini ni kinyume cha protocol zetu sisi Watanzania ushikana mikono na kutingisha sio kukumbatiana , na mgeni anapokuja nchini hata kama ni rais wa Marekani tamaduni zinazofuatwa ni za Tanzania
Samia wamepiga dili mpaka amekuwa mateka wa huyu mhuni
Her Excellency explained to me that this year’s summit theme, “MISSION 300,” underscores an ambitious but achievable goal of connecting 300 MILLION people in AFRICA to RELIABLE, CLEAN ENERGY by 2030
Kwa
1. 🥗 Eat Clean:
High protein, low sugar, more veggies
Avoid junk, fried, sugary drinks
2. 🏃♂️ Move Daily (20–30 mins):
Jumping jacks
Squats
Plank
Fast walking or spot jogging
3. 💧 Drink Water:
2–3 liters/day
Add lemon or moringa for detox
4. 🕒 Stay Consistent:
Small habits daily = big fat loss over time
No gym needed — just discipline + home food + bodyweight moves.
Watermelon 🍉 is good for hydration
Avocado 🥑 is good for your heart
Pineapple 🍍is good for digestion
Tomato 🍅 is good for prostate
Banana 🍌 is good for exercise
Coconut 🥥 is good for energy
Cucumber 🥒 is good for skin
Cabbage 🥬 is good for gut
Carrot 🥕 is good for eyes
Repost for others!