@ayubu_madenge Wew naye na Hans ni saw tuu hakuna cha matokeo ya kikatili....hoja ni hawakuw na kiwango cha kuendelea...mf. ...mechi na uchiz vunga walihujum kwa goal la waz kukataliw wakaenda makund then goal la farabat Zanzibar wakahujum kusema offside sasa ndio mshahara huoo hahahaha wqbovu
@RJMkisasi@SimbaSCTanzania Ajiuzulu nn sasa wakat mda wake kama chairman ushaisha tangu 16th January 2026 k8nacho3ndelea hapo saiv ni ubabe na rushw plus upuuz tuuu