Jana @TanzaniaLeaks wameandika uongo. Nakanusha sijasema maneno hayo na wala huo siyo mtazamo wangu. Naomba @TCRA_Tz mchukue hatua stahiki dhidi yao. Mimi nipo likizo ya kuongea na vyombo vya habari na mitandaoni si-post chochote, bungeni sijaongea, wametoa wapi maneno hayo?
Nitakuwa โฅ๏ธmchezaj ๐ค๐คLin mazoez kila siku๐ kiwango kinapanda i๐๐la timu sijaona ya kunipa hata jaribio moja daah ๐คฃ๐ค๐ค๐๐๐