Jambo la kushangaza sana kwa aliyekuwa kiongozi Mkuu(Supreme Leader) wa taiafa la Iran AYATOLLAH ALI KHAMENEI mpaka anafariki hakuwa na nyumba ya kibinafsi, hakuwa na Account za bank, hakuwa na magari ya kifahari na hakujilinbikizia mali licha ya kuongoza Iran kwa miaka 47.
Mahakama ya Rufani imekamilisha usikilizwaji wa shauri la maombi ya mapitio lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu.
Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo.
Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limesikilizwa leo, Ijumaa, Julai 3, 2026, na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani walioketi Dar es Salaam, likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis.
#TANZANIA: HECHE AGEUKA MBOGO SHERIA MPYA YA FEDHA YA 2026, ADAI NI MAUMIVU KWA WANANCHI, SPANA ZAWAINGIA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ageuka mbogo muswada wa sheria mpya za fedha adai inaenda kuleta matatizo kwa wananchi, "jana nimeanza kuichapa chapa, nimetumiwa meseji hapa kwamba kile kifungu watakopa pesa benki kuu wamekiondoa kwa sababu nilikisema jana (juzi) kule Mbeya"
Zaidi: https://t.co/MmI9CBMftF
@bajabiri Shutuma zenyewe ni mbili tu kwamba ameshindwa kudhibiti maswala ya nishati na uhamiaji.. wakati huku kwetu hata Lita 1 ya mafuta ikiuzwa elf 50 wala hawezi kujiuzulu hata mwenyekiti wa mtaaa.
"Nimeona kauli ambazo hazikuwa nzuri [kuhusu kifo cha RPC Tabora], Polisi zisiwakatishe tamaa. Hakuna wahalifu waliowahi kupenda polisi, fanyeni kazi zenu kwa weledi [...] Hakuna mambo polisi anafanya kwa bahati mbaya, yote yanafanywa kwa majibu wa taratibu za nchi. Yale yote yanayozungumzwa mimi nachukulia tu ni magenge ya wahalifu." - Paulo Matiko Chacha, Mkuu wa Mkoa wa Tabora
@chapo255@anuskills3 Dogo ameongea kwa mtazamo wake na kwamujibu wa Sheria ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni yakeโฆ Sasa @MsigwaGerson amekuja na hisia sana, kwani amekaa na watoto wa viongozi wote kujua tabia zao? Yeye Msigwa ni Msemaji wa Serekali na sio msemaji wa watoto wa Viongozi..
@eastafricatv Na hiyo ni kwa muda hii maana yake hawa jamaa swala la kutoza ushuru pale Hormuz nilazima na ndio karata yao muhimu ya kuidhibiti Dunia. Kazi ipo yote haya kayataka US
@ayubu_madenge Viongozi karibu wote wa Africa niwaroho sana wa madaraka.. ni vile wengine hawajapata hiyo chance.. Lakini wakishakaa kule juu hawatamani kutoka (Kagame, Museven, Tshisekedi, Na wengine wengi wamegoma kutoka)