@iamsalumally Sinung'uniki sina Viatu Wenzangu hawana miguu.
Hawalalamiki wanamshukuru aliye juu.
Siwezi nikamletea makuu maombi ya ki_braza duu.
Mbwembwe za kuomba magari nawaachia sana mkuu.
@rapcha_tz "Na Hakufanya Abortion kanibeba miezi tisa"
Now tupo safe na mama yupo proud
Shukrani zote kwa Jah na chapa 99 inasambaa kila mtaa" @rapcha_tz
"HAKUNA RAPPER ANAEWEZA KUMFIKIA JOH MAKIN........HAKUNA"
๐๐ฝ Ka'Mkubwa "Joh" ni maana halisi ya konsistensiii, toka miaka hiyo alipokuwa akikimbizana na wakongwe kiwandani, Bado jina lake lipo pale juu mpaka leo....
Na ataendelea kuwepo sana, labda mpaka aamue kupumzika mwenyewe katika Muziki, Uwezo wake wa kubadilika na kuendana na kizazi baada ya kizazi, kwa pamoja vinamfanya azidi kuwa bora ๐๐ฝ
๐๐ฝ "IT'S YOUR BOY"๐ถ Mmeisikia??? Humu ndani ni mwendo wa Majigambo tuu juu ya dundo la ZOMBIE.....Alisikika akisema ๐๐ฝ
"Sishiki mliposhika, hufiki ninapofika ....Unapenda kuwa hapa na mimi bado sijafika"๐ถ......
Huo mstari kwa lugha rahisi tunaweza sema "Hakuna Rapper anaeweza kumkuta JOH MAKIN kwa maana hata yeye bado hajafika......unaemkimbiza bado yupo Mbioni".....Patamu hapo ๐
NB: Nipo kwenye Comment hapa kushuhudia Mapovu ya watu waliodata na HEDINGIIII hapo ๐คฃ๐๐พ
"Joh Makin~ It's your Boy"๐ถ........ 10/10