Niulize Jez aina yeyote
Msimu huu ๐27,000/=
Za Zamani ๐35,000/=
๐0714336827
#MIKOA YOTE NATUMA.....ukinunua jez #TATU Free delivery nch nzima
Cc; @MissChelsea1221
Hivi kila mwana Yanga anaetumia Twitter anaifahamu account rasmi ya klabu? Hii hapa ๐ (@yangasc1935 ) Je umeifollow? Tunaweza kusambaza huu ujumbe kwa kadri tuwezavyo kuwafikia Wananchi wengi zaidi kuifahamu acc ya klabu yao pendwa.
OUR TEAM OUR TIME ๐๐
โNajua Safari ya Afrika ya Indaba mwaka huu itatumika kama jukwaa la kujenga uhusiano mpya, kubadilishana maarifa, na kuendesha ukuaji na mafanikio ya sekta ya utalii ya Afrika.โ
โInawezekana, tufanye pamoja. , nakushukuru na Mungu awabariki.โ -Maneno ya Waziri wa Utalii nchini Afrika Kusini kwenye hotuba ya Ufunguzi wa Africaโs Travel Indaba 2023.
#ATI2023 | #LiveSouthAfrica | @Safiri_SA
๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐๐๐ก๐๐, ๐๐๐ก๐๐ ๐ก๐ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐๐จ๐๐๐๐ข ๐ง๐๐๐
Hakuna Kinga inayozidi elimu, Sisi kama Klabu yenye historia ni wajibu wetu kutoa elimu kwa wadau ili waikinge na adha ya magoniwa yatokanayo na maji, leo tunatembelea Mburahati, Mabibo, Manzese na Mawasiliano.
@UNICEFTanzania
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
UTAOZEA JELA UKIJUA NJIA HII YA KUPATA PESA NYINGI
(REAL ESTATE)
Pesa ya mwaka 2020 inatofautiana Thamani na Pesa ya mwaka 2023
Mfano
Mwaka 2020 nilitunza 500 nije kununua soda mwaka 2023
Mwaka 2023 umefika ila soda inauzwa 600. Daah
Real estate Madini ๐ฅ
Uzi๐งต